Millionaire  Ads

Sunday, April 27, 2014

Mbinu zinazotumika na simba kupambana na adui

Tags
Kesho tutatazama njinsi mbinu azitumiazo simba kupambana na adui na mbinu utakazo tumia wewe kupambana naye!:----

Friday, April 25, 2014

Do you love this animal

Tags

Ungana nami kumjua tembo na tabia zake

Tags
Hebu tazama majabu ya mnyama tembo ambaye ni mnyama mwenye thamani nyingi mwilini mwake mfano: tembo hutunza mimba ndani ya miezi 22 sawa na miaka 2 pia mtoto wake huanza kula atimizapo dakika 45 toka azaliwe tembo anafuata uzazi wa mpango kivipi? Baada ya kujifungua hukaa mda wa miaka mitano ndipo huzaa tena!je hujawahi jiuliza kwa nini tembo hutembea kimakundi makundi tena wakiwa wamejitenga kijinsia? ni hivi tembo wanaongozwa na tembo jike mwenye umri kati ya miaka 45-50 na huongoza kundi lote na yeye hupewa jukumu la kuongozana na watoto na kutoa tarifa kama kunahatari mbeleni . Utajuaje tembo kama kachukia? 1)kwanza husugua ardhi kwa hasira na kutoa mrio mkari 2]hufungua masikio kwa kasi Pia tembo anasikio lenye 20kg ma anapofungua na kufunga masikio husaidia kupoza damu Mkonga wa tembo! tembo dume mkonga wake unauwezo wa kutunza lita 17za maji na jike hutunza maji lita 14 katika mkonga wake. Mguu watembo una mfupa wenye angle 45 degree ambao unasupport by cattalaged partcussion.ndomana akitembea husikii kishindo chochote.

Makazi yake anapatikana maeneo ya savana kwenye uoto wa miyombo na maeneo ya vichakavichaka! Mlo wake Tembo ni mnyama pekee ambaye hula kg 300 per day huyu dume na jike hula kg150 per day pia hula aina kama 200 za majani,magamba,mbegu,matunda na mizizi, katika masaa 24 hupumzika saa moja tu napo huenda kuoga au kunywa maji pia mkonga wa tembo dume unauwezo wa kutunza au kubeba lita 17 huyu dume na jike hubeba lita 14 za maji katika mkonga wake Je wajua matumizi ya mkonga wa tembo? fuatana nami keshokutwa ufaidi'

Chameleon

Tags

Poaching in Tanzania

Tags

Poaching

Tags

Hifadhi ya wanyama ya Ruaha Tanzania

Tags
Jifunze Maisha ya simba kwa kufuatilia makala hii Na mwandishi wetu Edward Mtega

Katika hifadhi ya Ruaha yakadiliwa kuwa na simba zaidi ya 500.ni hifadhi yenye simba wengi kuliko hifadhi zote tanzania.Sharubu nu jina ambalo limezoleka lengo ni kuwafumba watarii hasa ture guide anapo muliza toure guide fulani wapi simba wanapatika au leo kunasehem yeyote kaua?Hapa mgeni hawezi tambua chochote au kujua mbinu anazotumia tour guide kumpata mahali alipo simba.Kesho tutaelezea reproduction,ureaji,umiriki himaya yake,family confrict zao vyanzo vyake umri wa kuishi na kukabiriana naye ukimkuta pasipo tegemea' fuatilia somo la kesho

Kuna msemo usemao simba akikosa nyama hula majani! hi si kweli na ukiona simba kala jani jua jani hilo ni mhimu sana na jike ndiye mhusika jani hilo hula kwa lengo la abotion! wengi watauriza kwa nini afanye abotion? ok!

tunaendelea juu ya maisha ya simba simba dume akipata jike toka famila nyingine kama alikuwa na watoto dume huua wale madume na kuacha simba jike watoto.Huwauwa madume kwa hofu ya kuja pinduliwa baadae.

Kwa nini simba hula jani la kutoa mimba? hufanya hivyo kutokana na amri ya dume mpya mmiliki.Ndipo hutokea msemo simba akikosa nyama hula majani hii si kweli jamani huo msemo haumanishi kama mnavyofikiri.Kwa wanaoishi mbugani au waliolala walau siku moja mbugani nazani washasikia simba akinguruma.Kiukweli sauti ya simba inatisha kama akiunguruma mbali utazani yupo mgongoni mwako.Pia simba huunguruma kwa mda wa asubuhi na jioni ndani ya himaya yake asisogee mtu au mnyama yeyote au simba mwingine aliye nje na familia.

Tazama maajabu ya mnyama simba katika sex.Sikuzote katika wanyama wa porini madume ndiyo mahendsome majike hujipendekeza kwa madume sasa tumtazame simba katika sex: Simba jike humuandalia windo nono kwa sex kamili.Pia hufanya mapenzi kwa mda wa siku tatu mfululizo kama ifuatavyo: 1,)siku ya kwanza hufanya mapenzi dakika 45 tu ndani ya masaa 24 ndani ya dakika15 humwaga mabao hapo huitwa kapizi 2)siku ya pili hufanya mapenzi dakika25 ndani ya masaa24 3)siku ya tatu hufanya mapenzi dakika15 ndani yamasaa24 ikumbuke simba hawapandani kama mbuzi au ng'ombe simba jike hulala vizuri chini dume humpigia magoti kwa kumpa penzi simba anapo mwaga bao hupiga kelele za mlevi wa pombe ya machicha aliyejipiga kitanzi cha waya wa umeme.Bila kusahau simba hula kilo zaidi ya150 za nyama na simba dume uzito wake ni 200-250kg jike 130-135kg.Sasa tutazame bada ya sex hiyo hutokea nini? nifuate..

sikuzote mnyama au kiumbe chochote kisichokuwa na matatizo kikifanya sex katika mda unaostahili huzaa au kuzalisha.Sasa baada ya ufanyaji sex simba hufanikiwa kuzaa watoto watatu hadi sita na si zaidi! baada ya kushika mimba ndani ya siku110 katika kitendo hicho watoto wa simba huacha kunyonya baada ya miezi minne na hapo huanza kufundishwa jinsi ya kuwinda. Tazama simba hubalehe atimizapo mda wa miaka3-4 huyu jike wakati dume huwahi barehe afikishapo mwaka1-1.5 Ndipo huanza kuitwa sharubu mana huwa na miemuko na ugomvi ndani na nje ya familia.

Kwa hali hii dume huyu hutengwa au kufukuzwa aende akatafute maisha au familia.watu hujiuliza kwa nini simba dume huonekana na mdume wengine kimakundi? hapa jibu lake simba hawa huitwa solitary ikimanisha wametengwa na familia zao.Hi ni kwa wanyama wote hutokea hata kwa nyani,twiga,tembo,swala nk ukikutana na kundi hili la solitary mara nyingi kusalimika ni mara chache hasa baboon au tembo huwa na asila sana.Kesho tutangalia solitary group jinsi wanavyomiliki familia.

Sikuzote katika jamii yako ukiwa na hali isiyoamusha maendeleo hutengwa na kuzalauriwa: Basi hali hii hata kwa wanyama ipo hasa wnyama pori: TUTAZAME SABABU ZIFANYAZO MNYAMA KUTENGWA NA WENZIE 1)ulemavu hii tutokea hasa kwa simba kama itatokea simba fulani kilema hasa dume hutengwa kutokana hawezi kuhudumia familia yake hivyo huuwawa au kutengwa na famili au ukoo moja kwa moja 2)uzee hipia husababishwa kutengwa hasa tembo utakuta dume lipo peke yake linakula hata kundi la tembo wenzake wakiita hawmpi saport yeyote! omba usikutana na kundi hili la sokwe au baboon hili kama mwanamke unabakwa kwa mwanaume yaweza kimbia au mkakabiliana nalo.Swali kuna marefu yasiyo na ncha? ok!kesho tutazungumzia jinsi hawa wanyama wanavyorudi kundini fuatana nami kesho mchana..

Animals in Tanzania

Tags


Thursday, April 24, 2014

We are friends with the giraffe

Tags

The buffalo

Tags

The male lion

Tags

Friday, April 18, 2014

The lion

Tags