Millionaire  Ads

Friday, April 25, 2014

Ungana nami kumjua tembo na tabia zake

Tags

Hebu tazama majabu ya mnyama tembo ambaye ni mnyama mwenye thamani nyingi mwilini mwake mfano: tembo hutunza mimba ndani ya miezi 22 sawa na miaka 2 pia mtoto wake huanza kula atimizapo dakika 45 toka azaliwe tembo anafuata uzazi wa mpango kivipi? Baada ya kujifungua hukaa mda wa miaka mitano ndipo huzaa tena!je hujawahi jiuliza kwa nini tembo hutembea kimakundi makundi tena wakiwa wamejitenga kijinsia? ni hivi tembo wanaongozwa na tembo jike mwenye umri kati ya miaka 45-50 na huongoza kundi lote na yeye hupewa jukumu la kuongozana na watoto na kutoa tarifa kama kunahatari mbeleni . Utajuaje tembo kama kachukia? 1)kwanza husugua ardhi kwa hasira na kutoa mrio mkari 2]hufungua masikio kwa kasi Pia tembo anasikio lenye 20kg ma anapofungua na kufunga masikio husaidia kupoza damu Mkonga wa tembo! tembo dume mkonga wake unauwezo wa kutunza lita 17za maji na jike hutunza maji lita 14 katika mkonga wake. Mguu watembo una mfupa wenye angle 45 degree ambao unasupport by cattalaged partcussion.ndomana akitembea husikii kishindo chochote.

Makazi yake anapatikana maeneo ya savana kwenye uoto wa miyombo na maeneo ya vichakavichaka! Mlo wake Tembo ni mnyama pekee ambaye hula kg 300 per day huyu dume na jike hula kg150 per day pia hula aina kama 200 za majani,magamba,mbegu,matunda na mizizi, katika masaa 24 hupumzika saa moja tu napo huenda kuoga au kunywa maji pia mkonga wa tembo dume unauwezo wa kutunza au kubeba lita 17 huyu dume na jike hubeba lita 14 za maji katika mkonga wake Je wajua matumizi ya mkonga wa tembo? fuatana nami keshokutwa ufaidi'


EmoticonEmoticon